AfyaCall

AfyaCall iko wazi, saa 24

Karibu. Tukusaidie nini leo?

  • Madaktari waliosajiliwa
  • Lipa kwa simu
  • Simu yoyote, hata bila bando
Daktari wa AfyaCall akimsaidia mteja kuanza kutumia AfyaCall kwenye simu yake
Kwa ushirikiano na Vodacom Tanzania

Dharura?

Maisha yakiwa hatarini, usisubiri: piga 112 au nenda hospitali iliyo karibu.

Huduma

Kila kitu mahali pamoja

Daktari

Ushauri wa daktari aliyesajiliwa kwa maandishi, simu au video, saa 24.

  • VideoAna kwa ana kwenye simu yako, bila kupakua programu.
  • ChatAndika hapa au WhatsApp; tuma picha ya tatizo lako.
  • SimuPiga 0900 011 111 kutoka simu yoyote, saa 24.

Mshauri

Msongo wa mawazo, mahusiano na hofu. Siri, kati yako na mshauri.

Duka la dawa karibu

Maduka ya dawa yaliyo karibu nawe, na namba ya simu au ramani.

Hospitali na maabara

Hospitali, vituo vya afya na maabara karibu nawe.

Huduma kwa wateja

Maswali, malipo, mpango wako na malalamiko.

Inavyofanya kazi

Kuanzia salamu hadi ufuatiliaji

  1. MapokeziMwambie Jali unachohitaji, atakuelekeza.
  2. ChaguaDaktari au mshauri, au mahali karibu nawe.
  3. LipaKwa mobile money au muda wa maongezi, kabla ya kuanza.
  4. MashaurianoKwa maandishi, simu au video.
  5. UfuatiliajiWeka miadi tena na yule yule ukihitaji.

Mshirika wetu

AfyaCall na Vodacom Tanzania

Huduma zetu zinaendeshwa kwenye kituo cha data cha kiwango cha Tier III hapa Tanzania, kwa hiyo zinafunguka haraka kwenye simu yako.

  • Hapa nchiniSeva zetu ziko kwenye kituo cha data cha Tier III
  • M-PesaAu mobile money nyingine na muda wa maongezi
  • 15723Maswali kwa SMS bure

Kwa makampuni na taasisi

Tunaweza kuendesha huduma za afya kwa ajili yenu

Mfumo uleule unaohudumia wateja wetu kila siku, kwa wafanyakazi, wanachama au wateja wenu.

  • Kampeni za afyaKwa SMS na WhatsApp: tunapanga, tunatuma na tunapima matokeo.
  • IVR na huduma za sautiMenyu ya simu, masomo ya afya kwa sauti na laini ya daktari, kwenye simu yoyote.
  • Jali kwa wateja wenuMsaidizi wa afya wa AI kwa Kiswahili na Kiingereza, WhatsApp, tovuti na SMS, saa 24.
  • Madaktari kwa video na simuDaktari au mshauri kwa wafanyakazi au wanachama wenu, bila kusafiri.
  • MalipoM-Pesa, mobile money nyingine na muda wa maongezi.
  • Ripoti na takwimuDashibodi na ripoti za kila siku za matumizi na matokeo.
  • Kituo cha data cha Tier IIISeva zetu, hapa nchini
  • 15723Namba fupi yetu ya SMS
  • 0900 011 111Laini ya daktari, simu yoyote
  • Saa 24Kila siku

Bei

Hatuna gharama za kificho, hakuna mshangao baadaye

Bure

  • Mazungumzo 8 na Jali kila mwezi
  • SMS kwenda 15723
  • Kutafuta maduka ya dawa na hospitali karibu nawe

Kifurushi cha AfyaCall Vodacom

TZS 150 kwa siku

Kwa wateja wa Vodacom: chati na Jali saa 24 kwenye tovuti na WhatsApp, pamoja na vidokezo 2 vya afya kila siku.

Ongea na daktari kwa simu Vodacom

Kwa wateja wa Vodacom. Dakika zinadumu siku 7.